LUKUNDO & NURU SPECIAL DAY
Dada mtu akijiachia kwa raha zake...ilikua siku ya furaha isiyo na kifani....
hahahha bwana harusi kwisha habari yake...chezea dodoma wewe....
tabasam la ujazo...harusi ilikua nzuri sana
Mwenyekiti wa vijana Billionea Ande hatari tupu...






























